sw_tn/gen/43/01.md

20 lines
442 B
Markdown

# Njaa ilikuwa kali katika nchi
Neno "Kaanani" linaeleweka. Taarifa hii inaweza kuwekwa wazi. "Njaa ilikuwa kali katika nchi ya Kaanani"
# Ikawa
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.
# walipokuwa wametumia chakula
"Yakobo na familia yake walipokuwa wamekula"
# walichokitoa
"wana wakubwa wa Yakobo walileta"
# mtununulie
Hapa "mtununulie" ina maana ya Yakobo, wanawe, na familia yake iliyobaki.