sw_tn/gen/42/14.md

28 lines
619 B
Markdown

# Ndivyo nilivyowambia; ninyi ni wapelelezi
"kama nilivyotangulia kusema, nyinyi ni wapelelezi"
# Mtajaribiwa kwa njia hii
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Hivi ndivyo nitakavyowajaribu"
# aishivyo Farao
Msemo huu unaashiria kiapo maalumu.
# Mtumeni mmoja wenu amlete mdogo wenu
"Chagueni mmoja wenu kumfuata mdogo wenu"
# Mtabaki gerezani
"Mliosalia mtabaki gerezani"
# hata maneno yenu yatakapothibitishwa, kama kuna ukweli ndani yenu.
Hapa "maneno" ina maana ya kile alichosema. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili kwamba niweze kujua kama mnaniambia ukweli"
# kifungoni
"gerezani"