# Ndivyo nilivyowambia; ninyi ni wapelelezi "kama nilivyotangulia kusema, nyinyi ni wapelelezi" # Mtajaribiwa kwa njia hii Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Hivi ndivyo nitakavyowajaribu" # aishivyo Farao Msemo huu unaashiria kiapo maalumu. # Mtumeni mmoja wenu amlete mdogo wenu "Chagueni mmoja wenu kumfuata mdogo wenu" # Mtabaki gerezani "Mliosalia mtabaki gerezani" # hata maneno yenu yatakapothibitishwa, kama kuna ukweli ndani yenu. Hapa "maneno" ina maana ya kile alichosema. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili kwamba niweze kujua kama mnaniambia ukweli" # kifungoni "gerezani"