sw_tn/gen/41/53.md

8 lines
296 B
Markdown

# katika nchi yote
Katika mataifa yanayozunguka mbele zaidi ya Misri, kujumuisha na nchi ya Kanaani.
# lakini katika nchi yote ya Misri kulikuwa na chakula
Inasemekana ya kwamba kulikuwa na chakula kwa sababu Yusufu aliwaamuru watu wake kuhifadhi chakula katika kipindi cha miaka saba mizuri.