# katika nchi yote Katika mataifa yanayozunguka mbele zaidi ya Misri, kujumuisha na nchi ya Kanaani. # lakini katika nchi yote ya Misri kulikuwa na chakula Inasemekana ya kwamba kulikuwa na chakula kwa sababu Yusufu aliwaamuru watu wake kuhifadhi chakula katika kipindi cha miaka saba mizuri.