sw_tn/gen/41/22.md

52 lines
1.3 KiB
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Farao anaendelea kumwambia Yusufu ndoto zake.
# Niliona katika ndoto yangu
Hii inaanza sehemu inayofuata ya ndoto ya Farao baadaya kuamka na kurudi kulala. "Kisha nikaota tena"
# tazama, masuke saba
Farao anatumia neno "tazama" kumfanya Yusufu kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza.
# masuke saba
Maneno "ya masuke" inaeleweka. "masuke saba"
# yakatoka katika bua moja
"yakatoka katika bua moja". Shina ni sehemu ya mmea mnene na mrefu.
# Tazama, masuke saba zaidi
Farao anatumia neno "tazama" kumfanya Yusufu kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza.
# yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "yalinyauka, yamekaushwa, myembamba, na kukaushwa na jua kwa sababu ya upepo wa joto kutoka mashariki"
# kunyauka
"kuoza" au "nyauka"
# upepo wa mashariki
Upepo unaotoka kutoka mashariki ulivuma kutoka jangwani. Joto la upepo wa mashariki mara kwa mara ulikuwa uharibifu kwa mazao.
# yakachipua
"yakaota" au "kustawi"
# masuke membamba
Maneno "ya masuke" yanaeleweka. "masuke membamba"
# yakayameza
"yakala". Farao anaota ya kwamba mahindi dhaifu yanaweza kumeza mahindi yenye afya kama mtu anavyokula chakula.
# hakuna aliyeweza
"hapakuwa na mtu mmoja ambaye" au "hakuna kati yao ambaye"