# Taarifa ya Jumla: Farao anaendelea kumwambia Yusufu ndoto zake. # Niliona katika ndoto yangu Hii inaanza sehemu inayofuata ya ndoto ya Farao baadaya kuamka na kurudi kulala. "Kisha nikaota tena" # tazama, masuke saba Farao anatumia neno "tazama" kumfanya Yusufu kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza. # masuke saba Maneno "ya masuke" inaeleweka. "masuke saba" # yakatoka katika bua moja "yakatoka katika bua moja". Shina ni sehemu ya mmea mnene na mrefu. # Tazama, masuke saba zaidi Farao anatumia neno "tazama" kumfanya Yusufu kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza. # yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "yalinyauka, yamekaushwa, myembamba, na kukaushwa na jua kwa sababu ya upepo wa joto kutoka mashariki" # kunyauka "kuoza" au "nyauka" # upepo wa mashariki Upepo unaotoka kutoka mashariki ulivuma kutoka jangwani. Joto la upepo wa mashariki mara kwa mara ulikuwa uharibifu kwa mazao. # yakachipua "yakaota" au "kustawi" # masuke membamba Maneno "ya masuke" yanaeleweka. "masuke membamba" # yakayameza "yakala". Farao anaota ya kwamba mahindi dhaifu yanaweza kumeza mahindi yenye afya kama mtu anavyokula chakula. # hakuna aliyeweza "hapakuwa na mtu mmoja ambaye" au "hakuna kati yao ambaye"