sw_tn/gen/41/14.md

32 lines
661 B
Markdown

# Farao alipotuma na kumwita
Inaeleweka ya kwamba Farao aliwatuma watumishi. "Farao aliwatuma watumishi wake kumfuata Yusufu"
# wakamtoa gerezani
"nje ya gereza" au "nje ya ile jela"
# Akajinyoa mwenyewe
Ilikuwa utaratibu wa kawaida kunyoa ndevu na nywele za kichwani mnapoandaa kwenda mbele ya Farao.
# akaingia kwa Farao
Hapa "akaingia" inaweza kuwekwa kama "kwenda". "alikwenda mbele ya Farao"
# hakuna wa kuitafsiri
"hakuna awezaye kueleza maana yake"
# unaweza kuitafsiri
"unaweza kuelezea maana yake"
# Siyo katika mimi
"Mimi siye ambaye naweza kueleza maana yake"
# Mungu atamjibu Farao kwa fadhila zake
"Mungu atamjibu Farao kwa fadhila"