# Farao alipotuma na kumwita Inaeleweka ya kwamba Farao aliwatuma watumishi. "Farao aliwatuma watumishi wake kumfuata Yusufu" # wakamtoa gerezani "nje ya gereza" au "nje ya ile jela" # Akajinyoa mwenyewe Ilikuwa utaratibu wa kawaida kunyoa ndevu na nywele za kichwani mnapoandaa kwenda mbele ya Farao. # akaingia kwa Farao Hapa "akaingia" inaweza kuwekwa kama "kwenda". "alikwenda mbele ya Farao" # hakuna wa kuitafsiri "hakuna awezaye kueleza maana yake" # unaweza kuitafsiri "unaweza kuelezea maana yake" # Siyo katika mimi "Mimi siye ambaye naweza kueleza maana yake" # Mungu atamjibu Farao kwa fadhila zake "Mungu atamjibu Farao kwa fadhila"