sw_tn/gen/39/21.md

28 lines
949 B
Markdown

# Lakini Yahwe alikuwa pamoja na Yusufu
Hii ina maana ya namna Yahwe alivyomtunza Yusufu na kuwa mema kwake. "Lakini Yahwe alikuwa mwema kwa Yusufu" au "Lakini Yahwe alimtunza Yusufu"
# Akampa kibali mbele ya mlinzi wa gereza
Hii ina maana Yahwe alisababisha mlinzi wa gereza kumkubali Yusufu na kumtendea wema. "Yahwe alisababisha mlinzi wa gereza kufurahishwa na Yusufu"
# mlinzi wa gereza
"msimamizi wa gereza" au "mtu mwenye usamamizi na gereza"
# akawaweka mikononi mwa Yusufu
Hapa "mkononi" unawakilisha nguvu ya Yusufu au uaminifu. "kumweka Yusufu juu ya"
# Chochote walichokifanya, kilikuwa chini ya uangalizi wa Yusufu
"Yusufu alikuwa mwanaglizi wa kila kitu walichofanya pale"
# kwa sababu Yahwe alikuwa pamoja naye
Hii ina maana ya jinsi Yahwe alivyomsaidia Yusufu na kumuongoza. "kwa sababu Yahwe alimuongoza Yusufu"
# Yahwe akafanikisha kila alichokifanya.
"Yahwe alisababisha kila kitu ambacho Yusufu alifanya kufanikiwa"