sw_tn/gen/38/27.md

28 lines
574 B
Markdown

# Muda ukafika
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.
# tazama
Neno "tazama" linatuamsha kwa mshtuko ya kwamba Tamari alikuwa amebeba mapacha, ambayo haikujulikana awali.
# Muda wake wa kujifungua ukafika
Msemo huu "ukafika" unaweka alama kwa tukio muhimu katika simulizi.
# mmoja akatoa mkono
"mmoja wa watoto akatoa mkono wake nje"
# mkunga
Huyu ni mtu ambaye humsaidia mwanamke anayezaa mtoto.
# kitambaa cha rangi ya zambarau
"kitambaa cha rangi nyekundu iliyoiva"
# katika mkono wake
"kuzunguka kifundo cha mkono wake"