sw_tn/gen/37/12.md

24 lines
575 B
Markdown

# Je ndugu zako hawalichungi kundi huko Shekemu?
Israeli anatumia swali kuanza mazungumzo. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Ndugu zako wanachunga kundi huko Shekemu".
# Njoo
Hapa inasemekana ya kwamba Israeli anamuomba Yusufu kujiandaa kuondoka kuonana na ndugu zake. "Jiandae"
# nipo tayari
Yupo tayari kuondoka. "Nipo tayari kuondoka"
# Akamwambia
"Israeli akamwambia Yusufu"
# uniletee neno
Israeli anamtaka Yusufu kurudi na kumuambia kuhusu kaka zake na hali ya mifugo. "njoo uniambie utakakikuta" au "niletee taarifa"
# kutoka katika bonde
"kutoka bondeni"