sw_tn/gen/37/01.md

28 lines
638 B
Markdown

# nchi aliyokaa babaye, katika nchi ya Kanaani
"katika nchi ya Kaanani ambapo baba yake aliishi"
# Haya ndiyo matukio yaliyomhusu Yakobo
Sentensi hii inatambulisha habari ya watoto wa Yakobo katika Mwanzo 37:1-50:26. Hapa "Yakobo" ina maana ya familia yake nzima. "Hii ni habari ya familia ya Yakobo"
# umri wa miaka kumi na saba
"umri wa miak 17"
# Bilha
Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Raheli.
# Zilpa
Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea.
# wake
"suria". Wanawake hawa walikuwa watumishi wa Lea na Raheli waliopewa kwa Yakobo kumzalia watoto.
# akaleta taarifa yao mbaya kuhusu wao
"taarifa mbaya kuhusu kaka zake"