# nchi aliyokaa babaye, katika nchi ya Kanaani "katika nchi ya Kaanani ambapo baba yake aliishi" # Haya ndiyo matukio yaliyomhusu Yakobo Sentensi hii inatambulisha habari ya watoto wa Yakobo katika Mwanzo 37:1-50:26. Hapa "Yakobo" ina maana ya familia yake nzima. "Hii ni habari ya familia ya Yakobo" # umri wa miaka kumi na saba "umri wa miak 17" # Bilha Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Raheli. # Zilpa Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea. # wake "suria". Wanawake hawa walikuwa watumishi wa Lea na Raheli waliopewa kwa Yakobo kumzalia watoto. # akaleta taarifa yao mbaya kuhusu wao "taarifa mbaya kuhusu kaka zake"