sw_tn/gen/36/20.md

20 lines
337 B
Markdown

# Seiri
Neno la "Seiri" ni jina la mwanamume na nchi.
# Mhori
Neno la "Mhori" lina maana la kundi la watu.
# wakazi wa nchi hiyo
walioishi katika nchi ya Seiri, ambayo pia inaitwa Edomu.
# Lotani, Shobali, Zibeoni, Ana, Dishoni, Ezeri, na Dishani ... Hori na Hemani
Haya ni majina ya wanamume.
# Timna
Hili ni jina la mwanamke.