# Seiri Neno la "Seiri" ni jina la mwanamume na nchi. # Mhori Neno la "Mhori" lina maana la kundi la watu. # wakazi wa nchi hiyo walioishi katika nchi ya Seiri, ambayo pia inaitwa Edomu. # Lotani, Shobali, Zibeoni, Ana, Dishoni, Ezeri, na Dishani ... Hori na Hemani Haya ni majina ya wanamume. # Timna Hili ni jina la mwanamke.