sw_tn/gen/35/11.md

16 lines
521 B
Markdown

# Mungu akamwambia
"Mungu akamwambia Yakobo"
# Uwe mwenye kuzaa na kuongezeka
Mungu akamwambia Yakobo kuzaa watoto ili kwamba waweze kuwa wengi wao. Neno "kuongezeka" unaelezea jinsi anavyotakiwa "kuzaa".
# Taifa na wingi wa mataifa watakujia, na wafalme watatoka miongoni mwa uzao wako
Hapa "taifa" na "mataifa" yana maana ya vizazi vya Yakobo ambao wataunda mataifa haya.
# Mungu akapanda kutoka
Hapa "akapanda kutoka" inatumika kwa sababu Mungu anapoishi inafikiriwa kuwa juu au juu ya dunia. "Mungu akamuacha"