# Mungu akamwambia "Mungu akamwambia Yakobo" # Uwe mwenye kuzaa na kuongezeka Mungu akamwambia Yakobo kuzaa watoto ili kwamba waweze kuwa wengi wao. Neno "kuongezeka" unaelezea jinsi anavyotakiwa "kuzaa". # Taifa na wingi wa mataifa watakujia, na wafalme watatoka miongoni mwa uzao wako Hapa "taifa" na "mataifa" yana maana ya vizazi vya Yakobo ambao wataunda mataifa haya. # Mungu akapanda kutoka Hapa "akapanda kutoka" inatumika kwa sababu Mungu anapoishi inafikiriwa kuwa juu au juu ya dunia. "Mungu akamuacha"