sw_tn/gen/34/08.md

20 lines
473 B
Markdown

# Hamori akaongea nao
"Hamori alizungumza na Yakobo na wanawe"
# anampenda binti yenu
Hapa neno "anampenda" lina maana ya upendo wa kimahaba kati ya mwanamume na mwanamke. "anampenda na anataka kumuoa"
# mpeni kuwa mke wake
Katika baadhi ya tamaduni, wazazi huamua watoto wao wataolewa na nani"
# Mwoane nasi
Kuoana ni kuoa mtu wa jamii, kabila, au dini tofauti. "Ruhusu ndoa kati ya watu wako na wetu"
# nchi itakuwa wazi kwa ajili yenu
"nchi itakuwa wazi kwako"