# Hamori akaongea nao "Hamori alizungumza na Yakobo na wanawe" # anampenda binti yenu Hapa neno "anampenda" lina maana ya upendo wa kimahaba kati ya mwanamume na mwanamke. "anampenda na anataka kumuoa" # mpeni kuwa mke wake Katika baadhi ya tamaduni, wazazi huamua watoto wao wataolewa na nani" # Mwoane nasi Kuoana ni kuoa mtu wa jamii, kabila, au dini tofauti. "Ruhusu ndoa kati ya watu wako na wetu" # nchi itakuwa wazi kwa ajili yenu "nchi itakuwa wazi kwako"