sw_tn/gen/33/18.md

36 lines
669 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Hii inaanza sehemu mpya ya simulizi. Mwandishi anaelezea kile Yakobo alichofanya baada ya kupumzika Sukothi.
# Yakobo alipokuja kutoka Padani Aramu
"Baada ya Yakobo kuondoka Padani Aramu"
# Yakobo ... alipokuja ... Akapiga kambi
Hii inamtaja Yakobo pekee kwa sababu ni kiongozi wa familia. Inasemekana ya kwamba familia yake ilikuwa pamoja naye.
# Akapiga kambi karibu
"Aliweka kambi yake karibu"
# sehemu ya ardhi
"kipande cha ardhi"
# Hamori
Hili ni jina la mwanamume.
# baba wa Shekemu
Shekemu ni jina la mji na jina la mwanamume.
# mia
"100"
# El Elohe Israeli
"Jina la El Elohe Israeli lina maana ya "Mungu, Mungu wa Israeli"