# Taarifa ya Jumla: Hii inaanza sehemu mpya ya simulizi. Mwandishi anaelezea kile Yakobo alichofanya baada ya kupumzika Sukothi. # Yakobo alipokuja kutoka Padani Aramu "Baada ya Yakobo kuondoka Padani Aramu" # Yakobo ... alipokuja ... Akapiga kambi Hii inamtaja Yakobo pekee kwa sababu ni kiongozi wa familia. Inasemekana ya kwamba familia yake ilikuwa pamoja naye. # Akapiga kambi karibu "Aliweka kambi yake karibu" # sehemu ya ardhi "kipande cha ardhi" # Hamori Hili ni jina la mwanamume. # baba wa Shekemu Shekemu ni jina la mji na jina la mwanamume. # mia "100" # El Elohe Israeli "Jina la El Elohe Israeli lina maana ya "Mungu, Mungu wa Israeli"