sw_tn/gen/31/12.md

24 lines
435 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Malaika wa Bwana anaendelea kuzungumza na Yakobo.
# Inua macho yako
Hii ni namna ya kusema "Tazama juu"
# wanaolipanda kundi
Hapa "kundi" lina maana ya mbuzi wa kike. "ambao wanawapanda na mbuzi wa kike wa kundi"
# Wana milia, madoa na na mabaka
"wana milia na madoa"
# mahali ulipoitia nguzo mafuta
Yakobo alimwaga mafuta juu ya nguzo kuiweka wakfu kwa Mungu.
# nchi uliyozaliwa
"nchi ambayo ulizaliwa"