# Taarifa ya Jumla: Malaika wa Bwana anaendelea kuzungumza na Yakobo. # Inua macho yako Hii ni namna ya kusema "Tazama juu" # wanaolipanda kundi Hapa "kundi" lina maana ya mbuzi wa kike. "ambao wanawapanda na mbuzi wa kike wa kundi" # Wana milia, madoa na na mabaka "wana milia na madoa" # mahali ulipoitia nguzo mafuta Yakobo alimwaga mafuta juu ya nguzo kuiweka wakfu kwa Mungu. # nchi uliyozaliwa "nchi ambayo ulizaliwa"