sw_tn/gen/29/13.md

20 lines
420 B
Markdown

# mwana wa dada yake
"mpwa wake"
# akamkumbatia
"alimkumbatia"
# akambusu
Nyakati za kale Mashariki ya Karibu, ilikuwa kawaida kumsalimu ndugu na busu. Ingawa, inafanywa baina ya wanamume.
# Yakobo akamwambia Labani mambo haya yote
"kisha Yakobo alimwambia Labani kila kitu alichomuambia Raheli"
# mfupa wangu na nyama yangu
msemo huu una maana zinaoana moja kwa moja. "ndugu yangu" au "mmoja wa familia yangu"