# mwana wa dada yake "mpwa wake" # akamkumbatia "alimkumbatia" # akambusu Nyakati za kale Mashariki ya Karibu, ilikuwa kawaida kumsalimu ndugu na busu. Ingawa, inafanywa baina ya wanamume. # Yakobo akamwambia Labani mambo haya yote "kisha Yakobo alimwambia Labani kila kitu alichomuambia Raheli" # mfupa wangu na nyama yangu msemo huu una maana zinaoana moja kwa moja. "ndugu yangu" au "mmoja wa familia yangu"