sw_tn/gen/28/12.md

24 lines
493 B
Markdown

# Akaota
"Yakobo alipata ndoto"
# imewekwa juu ya nchi
"chini yake ikigusa ardhini"
# ilifika hata mbinguni
Hii ina maana ya sehemu ambapo Mungu anaishi.
# Tazama
Neno la "tazama" hapa linatuamsha kuvuta nadhari kwa taarifa ya kushtukiza inayofuata.
# Yahwe amesimama juu yake
Maana zaweza kuwa 1) "Yahwe alikuwa amesimama juu ya ngazi" au 2) "Yahwe alikuwa amesima kando na Yakobo"
# Abrahamu baba yako
Hapa "baba" ina maana ya "babu". "Abrahamu babu yako" au "Abrahamu babu yako"