# Akaota "Yakobo alipata ndoto" # imewekwa juu ya nchi "chini yake ikigusa ardhini" # ilifika hata mbinguni Hii ina maana ya sehemu ambapo Mungu anaishi. # Tazama Neno la "tazama" hapa linatuamsha kuvuta nadhari kwa taarifa ya kushtukiza inayofuata. # Yahwe amesimama juu yake Maana zaweza kuwa 1) "Yahwe alikuwa amesimama juu ya ngazi" au 2) "Yahwe alikuwa amesima kando na Yakobo" # Abrahamu baba yako Hapa "baba" ina maana ya "babu". "Abrahamu babu yako" au "Abrahamu babu yako"