sw_tn/gen/28/08.md

32 lines
498 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Hii inaendeleza taarifa ya nyuma kuhusu Esau.
# Esau akaona
"Esau akagundua"
# wanawake wa Kanaani hawakumpendeza Isaka baba yake
"baba yake Isaka hakuidhinisha wanawake wa Kaanani"
# wanawake wa Kanaani
"binti wa Kaanani" au "wanawake wa Kaanani"
# Hivyo
"Kwa sababu hiyo"
# mbali na wake aliokuwa nao
"kwa kuongeza juu ya wake aliokuwa nao tayari"
# Mahalathi
Hili ni jina la mmoja wa binti wa Ishmaeli.
# Nebayothi
Hili ni jina la mmoja wa vijana wa Ishmaeli.