# Taarifa ya Jumla: Hii inaendeleza taarifa ya nyuma kuhusu Esau. # Esau akaona "Esau akagundua" # wanawake wa Kanaani hawakumpendeza Isaka baba yake "baba yake Isaka hakuidhinisha wanawake wa Kaanani" # wanawake wa Kanaani "binti wa Kaanani" au "wanawake wa Kaanani" # Hivyo "Kwa sababu hiyo" # mbali na wake aliokuwa nao "kwa kuongeza juu ya wake aliokuwa nao tayari" # Mahalathi Hili ni jina la mmoja wa binti wa Ishmaeli. # Nebayothi Hili ni jina la mmoja wa vijana wa Ishmaeli.