sw_tn/gen/24/61.md

16 lines
504 B
Markdown

# Kisha Rebeka akasimama, yeye na watumishi wake wakawapakia ngamia
"Kisha Rebeka akasimama, yeye na watumishi wake wakawapakia ngamia"
# Hivyo watumishi wakamchukua Rebeka, na wakaenda zao
"Katika njia hii mtumishi wa Abrahamu alimchukua Rebeka pamoja naye na kurudi naye mahali alipotoka"
# Nyakati hizo
Neno hili linaweka alama ya kubadili simulizi. Ilikuwa inaeleza juu ya mtumishi kutafuta mke, na sasa itaanza kueleza kuhusu Isaka.
# Beerlahairoi
Hili ni jina la maji ya kisima kule Negebu.