# Kisha Rebeka akasimama, yeye na watumishi wake wakawapakia ngamia "Kisha Rebeka akasimama, yeye na watumishi wake wakawapakia ngamia" # Hivyo watumishi wakamchukua Rebeka, na wakaenda zao "Katika njia hii mtumishi wa Abrahamu alimchukua Rebeka pamoja naye na kurudi naye mahali alipotoka" # Nyakati hizo Neno hili linaweka alama ya kubadili simulizi. Ilikuwa inaeleza juu ya mtumishi kutafuta mke, na sasa itaanza kueleza kuhusu Isaka. # Beerlahairoi Hili ni jina la maji ya kisima kule Negebu.