sw_tn/gen/24/56.md

20 lines
304 B
Markdown

# akasema
"Mtumishi wa Abrahamu akasema"
# kwao
"kwa kaka wa Rebeka na mama yake"
# msinizuie
"Msinikawize" au "Msinifanye nisubiri"
# Yahwe amefanikisha njia yangu
Hapa "njia" ina maana ya safari. "Yahwe amefanya nifanikiwe katika lengo la safari yangu"
# Niruhusuni niende
"Niruhusu niondoke"