# akasema "Mtumishi wa Abrahamu akasema" # kwao "kwa kaka wa Rebeka na mama yake" # msinizuie "Msinikawize" au "Msinifanye nisubiri" # Yahwe amefanikisha njia yangu Hapa "njia" ina maana ya safari. "Yahwe amefanya nifanikiwe katika lengo la safari yangu" # Niruhusuni niende "Niruhusu niondoke"