sw_tn/gen/24/52.md

16 lines
413 B
Markdown

# maneno yao
"Maneno ya Labani na Bethueli". Hapa "maneno" ina maana ya kile walichosema. "kile ambacho Labani na Bethueli walisema"
# akainama mwenyewe chini
Kuinama chini mbele ya Mungu ni ishara ya kumuabudu yeye.
# vipande vya fedha na vipande vya dhahabu
"vipande vya fedha na dhahabu" au "vitu vilivyotengenezwa kwa fedha na dhahabu"
# zawadi zenye thamani
"zawadi za gharama" au "zawadi za thamani"