# maneno yao "Maneno ya Labani na Bethueli". Hapa "maneno" ina maana ya kile walichosema. "kile ambacho Labani na Bethueli walisema" # akainama mwenyewe chini Kuinama chini mbele ya Mungu ni ishara ya kumuabudu yeye. # vipande vya fedha na vipande vya dhahabu "vipande vya fedha na dhahabu" au "vitu vilivyotengenezwa kwa fedha na dhahabu" # zawadi zenye thamani "zawadi za gharama" au "zawadi za thamani"