sw_tn/gen/24/50.md

20 lines
418 B
Markdown

# Bethueli
Huyu alikuwa baba wa Labani na Rebeka.
# Jambo hili limetoka kwa Yahwe
"Yahwe alisababisha haya yote kutokea"
# hatuwezi kusema kwako aidha neno baya au zuri
Wanasema hawana mamlaka ya kuamua kwamba aliyofanya Mungu ni mema au mabaya. "hatuthubutu kuhukumu kile ambacho Yahwe anatenda"
# Tazama
Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.
# Rebeka yu mbele yako
"Huyu hapa Rebeka"