# Bethueli Huyu alikuwa baba wa Labani na Rebeka. # Jambo hili limetoka kwa Yahwe "Yahwe alisababisha haya yote kutokea" # hatuwezi kusema kwako aidha neno baya au zuri Wanasema hawana mamlaka ya kuamua kwamba aliyofanya Mungu ni mema au mabaya. "hatuthubutu kuhukumu kile ambacho Yahwe anatenda" # Tazama Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho. # Rebeka yu mbele yako "Huyu hapa Rebeka"