sw_tn/gen/22/20.md

24 lines
643 B
Markdown

# Ikawa kwamba baada ya mambo haya
"Baada ya matukio haya". Msemo "mambo haya" una maana ya matukio ya Mwanzo 22:1-19
# Abraham aliambiwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "mtu alimwambia Abrahamu"
# Milka amemzalia pia watoto
"Milka pia alizaa watoto"
# Milka
Hili ni jina la mwanamke
# walikuwa ni Usi mzaliwa wa kwanza, Busi ndugu yake
"Jina la mwanawe wa kwanza lilikuwa Usi, na majina ya watoto waliosalia walikuwa Busi ndugu yake"
# Usi ... Busi ... Kemueli ... Aramu ...Kesedi, Hazo, Pildasi, Yildashi, na bethueli
Haya yote ni majina ya wanamume. Hawa wote kasoro Aramu walikuwa watoto watoto wa nahori na Milka.