# Ikawa kwamba baada ya mambo haya "Baada ya matukio haya". Msemo "mambo haya" una maana ya matukio ya Mwanzo 22:1-19 # Abraham aliambiwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "mtu alimwambia Abrahamu" # Milka amemzalia pia watoto "Milka pia alizaa watoto" # Milka Hili ni jina la mwanamke # walikuwa ni Usi mzaliwa wa kwanza, Busi ndugu yake "Jina la mwanawe wa kwanza lilikuwa Usi, na majina ya watoto waliosalia walikuwa Busi ndugu yake" # Usi ... Busi ... Kemueli ... Aramu ...Kesedi, Hazo, Pildasi, Yildashi, na bethueli Haya yote ni majina ya wanamume. Hawa wote kasoro Aramu walikuwa watoto watoto wa nahori na Milka.