sw_tn/gen/22/13.md

24 lines
605 B
Markdown

# tazama
Neno "tazama" hapa linatuamsha kuvuta nadhari kwa taarifa ya kushangaza inayofuata.
# kulikuwa na kondoo mume amenaswa pembe zake kichakani
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kulikuwa na kondoo dume aliyekwama pembe zake kichakani" au "kulikuwa na kondoo dume aliyekwama kichakani"
# akaenda akamchukua kondoo
"Abrahamu alienda kwa kondoo dume na kumchukua"
# atatoa ... itatolewa
"atatupatia sisi"
# hata leo
"hata sasa". Hii ina maana ya hata katika kipindi ambacho mwandishi alikuwa akiandika kitabu hiki.
# itatolewa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yeye atatoa"