# tazama Neno "tazama" hapa linatuamsha kuvuta nadhari kwa taarifa ya kushangaza inayofuata. # kulikuwa na kondoo mume amenaswa pembe zake kichakani Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kulikuwa na kondoo dume aliyekwama pembe zake kichakani" au "kulikuwa na kondoo dume aliyekwama kichakani" # akaenda akamchukua kondoo "Abrahamu alienda kwa kondoo dume na kumchukua" # atatoa ... itatolewa "atatupatia sisi" # hata leo "hata sasa". Hii ina maana ya hata katika kipindi ambacho mwandishi alikuwa akiandika kitabu hiki. # itatolewa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yeye atatoa"