sw_tn/gen/21/10.md

24 lines
499 B
Markdown

# akamwambia Abrahamu
"Sara akamwambia Abrahamu"
# Mfukuze
"mfukuze aende zake" au "mtoweshe"
# mwanamke huyu mtumwa pamoja na mtoto wake
Hii ina maana ya Hajiri na Ishmaeli. Sara hakuwatambua kwa majina kwa sababu alikuwa amekasirishwa nao.
# pamoja na mwanangu Isaka
"pamoja na mwanangu Isaka"
# Jambo hili likamuhuzunisha sana Abrahamu
"Abrahamu alikuwa na huzuni kuhusu kile alichosema Sara"
# kwa sababu ya mwanawe
"kwa sababu ilikuwa inahusu mwanawe" Inamaanisha mwanawe, Ishameli"