# akamwambia Abrahamu "Sara akamwambia Abrahamu" # Mfukuze "mfukuze aende zake" au "mtoweshe" # mwanamke huyu mtumwa pamoja na mtoto wake Hii ina maana ya Hajiri na Ishmaeli. Sara hakuwatambua kwa majina kwa sababu alikuwa amekasirishwa nao. # pamoja na mwanangu Isaka "pamoja na mwanangu Isaka" # Jambo hili likamuhuzunisha sana Abrahamu "Abrahamu alikuwa na huzuni kuhusu kile alichosema Sara" # kwa sababu ya mwanawe "kwa sababu ilikuwa inahusu mwanawe" Inamaanisha mwanawe, Ishameli"