sw_tn/gen/20/06.md

24 lines
399 B
Markdown

# Mungu akasema naye
"Mungu akasema kwa Abimeleki"
# umefanya hili katika uadilifu wa moyo wako
Hapa"moyo" una maana ya mawazo na nia zake. "ulifanya hivi kwa nia njema" au "ulifanya hivi bila kuwa na nia ya uovu"
# umshike
Hii ni lugha ya upole kwa kufanya ngono na Sara. "kulala naye"
# mke wa mtu
"Mke wa Abrahamu"
# utaishi
"Nitakuruhusu uishi"
# wote walio wa kwako
"nyie watu wote"