# Mungu akasema naye "Mungu akasema kwa Abimeleki" # umefanya hili katika uadilifu wa moyo wako Hapa"moyo" una maana ya mawazo na nia zake. "ulifanya hivi kwa nia njema" au "ulifanya hivi bila kuwa na nia ya uovu" # umshike Hii ni lugha ya upole kwa kufanya ngono na Sara. "kulala naye" # mke wa mtu "Mke wa Abrahamu" # utaishi "Nitakuruhusu uishi" # wote walio wa kwako "nyie watu wote"