sw_tn/gen/18/29.md

32 lines
632 B
Markdown

# Akaongea naye
"Abrahamu akazungumza na Yahwe"
# ikiwa arobaini watapatikana pale
Hii ina maana ya "ikiwa ukapata watu watakatifu arobaini Sodoma na Gomora"
# Akajibu
"Yahwe akajibu"
# Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini
"Sitaangamiza miji iwapo nitakuta watu watakatifu arobaini pale"
# thelathini
"watu thelathini watakatifu" au "watu thelathini wazuri"
# Tazama
Msemo wa "tazama" hapa unavuta nadhari juu ya taarifa ya kushangaza inayofuata.
# Nimeshika kusema
"Niwie radhi kwa kuwa wazi na kuzungumza na wewe" au "Samahani kwa kudiriki kuzungumza"
# ishirini
"watu ishirini watakatifu" au "watu ishirini wazuri"