# Akaongea naye "Abrahamu akazungumza na Yahwe" # ikiwa arobaini watapatikana pale Hii ina maana ya "ikiwa ukapata watu watakatifu arobaini Sodoma na Gomora" # Akajibu "Yahwe akajibu" # Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini "Sitaangamiza miji iwapo nitakuta watu watakatifu arobaini pale" # thelathini "watu thelathini watakatifu" au "watu thelathini wazuri" # Tazama Msemo wa "tazama" hapa unavuta nadhari juu ya taarifa ya kushangaza inayofuata. # Nimeshika kusema "Niwie radhi kwa kuwa wazi na kuzungumza na wewe" au "Samahani kwa kudiriki kuzungumza" # ishirini "watu ishirini watakatifu" au "watu ishirini wazuri"