sw_tn/gen/17/07.md

20 lines
354 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mungu anaendelea kuzungumza na Abrahamu.
# katika vizazi vyao
"katika kila kizazi"
# kwa agano la milele
"kama agano ambalo litadumu milele"
# Mungu kwako na kwa wazao wako baada yako
"kuwa Mungu wako na vizazi vyako" au "agano"
# Kanaani, kuwa miliki ya milele
"Kanaani, kama miliki ya milele" au"Kanaani, kuimiliki milele"