# Taarifa ya Jumla: Mungu anaendelea kuzungumza na Abrahamu. # katika vizazi vyao "katika kila kizazi" # kwa agano la milele "kama agano ambalo litadumu milele" # Mungu kwako na kwa wazao wako baada yako "kuwa Mungu wako na vizazi vyako" au "agano" # Kanaani, kuwa miliki ya milele "Kanaani, kama miliki ya milele" au"Kanaani, kuimiliki milele"